×

#Exclusive: “Nilipewa Taarifa Ana Pesa ZA Mbao -Kafara Zake Zilinichanganya Baba Yake ni Mchungaji”

Aliyekua mlinzi wa @chiefgodlove ila kwa sasa ni mnyanyua vyuma @damyachuma amefunguka mengi kwenye Exclusive interview Global Tv kuwa anashangazwa sana na utajiri wa Chief godlove kwani yeye anamjua toka akiwa hana pesa, ameeleza mengi walivokua wakienda kutoa kafara na namna zilivokua zinamchanganya

Leave a Comment