MIONGONI mwa waliojitokeza katika uwanja wa Uhuru jijini Dar kwa ajili ya kuaga mwili wa Hayati Magufuli, ni pamoja na Naibu waziri wa mazingira, Mwita Waitara, ambaye amezungumza na Global TV na kumuelezea Hayati JPM kwa jinsi alivyomfahamu. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx