×

Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Yatinga robo fainali AFCON 2023

Timu ya Taifa ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetinga robo fainali ya kombe la Mataifa Afrika (AFCON 2023) kufuatia ushindi wa penalti 8-7 dhidi ya Mafarao katika dimba la Laurent Pokou, San Pedro.

Misri 🇪🇬 1-1 🇨🇩 DR Congo (P 7-8 )
⚽ Mostafa Mohamed 45’
⚽ Meschack Elia 37’

MATUTA

MISRI 🇪🇬 ✅❌✅✅✅✅✅✅❌

DRC 🇨🇩 ✅❌✅✅✅✅✅✅✅

DR Congo itachuana na Guinea katika hatua ya robo fainali.

Leave a Comment