×

Zuchu ft Dadiposlim – Zawadi (Official Music Video)

ZUHURA Othman Soud almaarufu Zuchu au Zuuh; ni malkia mpya wa muziki wa Kizazi Kipya nchini Tanzania ameachia video ya wimbo wake mpya wa Zawadi ambao kamshirikisha Dadiposlim.

Leave a Comment