×

Prince Dube Atangaza Kuondoka Azam, Awaaga Wachezaji makocha na mashabiki

Mshambuliaji Prince Dube ametangaza kuondoka Azam FC na kuhitimisha miaka minne ya utumishi wake klabuni hapo.

“Ninapoendelea na sura mpya katika kazi yangu ninabeba masomo niliyojifunza wakati nikiwa Azam FC, sapoti niliyopata kutoka kwa mashabiki ilikuwa ya ajabu. Nami nitathamini daima kumbukumbu tulizoweka pamoja.” amesema Dube kupitia barua yake ‘thank you’ kwa Azam FC

“Nina imani na nguvu na uwezo wa klabu hii, na sina shaka Azam FC itaendelea kufikia mambo makubwa. Nawatakia Azam FC, wachezaji wenzangu makocha na mashabiki mafanikio na furaha. Ahsante kwa safari ya ajabu.”

Leave a Comment