×

Waziri Mkuu Apokea salamu za pole kutoka Serikali ya Qatar kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Hayati Ali Hassan Mwinyi

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa Qatar nchini Fahad Rashid Al Muraikhi.

Pia Majaliwa amepokea salamu za pole kutoka Serikali ya Qatar kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi.

Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisi Ndogo ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam Machi 8, 2024.

#PART1: BABU RAMA ALIYEJIUA kwa KUJIPIGA RISASI KICHWANI ALIFICHUA AGIZO ZITO la HAYATI MAGUFULI…

Leave a Comment