
Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi ametoa taarifa kwa waandishi wa habari kuhusu maendeleo ya utalii na miundombinu baada ya mvua kubwa za El nino Katika Hifadhi ya Taifa ya Serengeti leo Machi 10, 2024 katika ukumbi wa Idara ya Habari (Maelezo) jijini Dodoma.
