×

Mwananyamala Yafana Sikukuu Ya Wanawake Duniani

Sikukuu ya Wanawake duniani ilifana sana Kwa wakina Mama wajasiriamali wanaofanya shughuli zao katika soko la Mwananyamala jijini Dar-es-salaam baada ya Meridianbet kufika na kutoa msaada eneo hilo.

Mabingwa hao wa michezo ya kubashiri walitoa msaada wa vyakula mbalimbali kwa wakina Mama wa eneo hilo katika sikukuu hiyo ya Wanawake duniani na kuhakikisha sikukuu yao inakwenda vizuri zaidi kwa kutoa msaada huo.

Lengo la Meridianbet ni kuhakikisha wanawafanya kina Mama kufarijika katika siku ya wanawake duniani, Lakini pia kuendeleza utamaduni wao wa kurudisha kwenye jamii yake ambayo inawazunguka.

Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano kutoka Meridianbet Bi Nancy Ingram alipata nafasi ya kuzungumza katika tukio hilo”Binafsi ninayo furaha kubwa kuwepo hapa leo kutoa msaada huu na kiukweli nimefarijika sana kwani leo ni siku yenu,Hivo mnastahili kuifurahia na sisi kama Meridianbet tumehakikisha mnaifurahia siku hii muhimu kabisa kwenu”.

Suka mkeka wako kwenye michezo mikali itakayopigwa leo kwenye ligi ya mabingwa Afrika, Machaguo zaidi za 1000 yapo huku lakini vile vile Turbo Cash pia ipo. Unasubiri nini sasa? Ingia meridianbet na ubashiri sasa.

Hata hivo wakina Mama wanaojishughulisha na shughuli za ujasiriamali eneo hilo la Mwananyamala sokoni wameonesha kufurahishwa sana na kitendo ambacho kimefanywa na mabingwa wa michezo ya kubashiri, Ambapo wamesema taasisi nyingine zinapaswa kuiga mfano wa Meridianbet katika kurudisha kwenye jamii kwani sio mara ya kwanza taasisi hiyo inafika katika eneo hilo.

Leave a Comment