×

Rais Hussein Ali Mwinyi Aondoka Zanzibar Kushiriki Mashindano ya Tajweed ukumbi wa JNICC, Dar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi Machi 22, 2024 ameondoka Zanzibar na kuwasili Jijini Dar es Salaam.

Rais Dk.Mwinyi atashiriki Mashindano ya Tajweed ukumbi wa JNICC na Mashindano ya Kimataifa ya kuhifadhi Quran yatakayofanyika Uwanja wa Benjamin Mkapa yaliyoandandaliwa na Taasisi ya Al Hikma Foundation.

 

Leave a Comment