
Mamelodi Sundowns imetinga nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa penalti 3-2 dhidi ya Yanga Sc kwenye robo fainali.
FT: Mamelodi 🇿🇦 0-0 🇹🇿 Yanga Sc (Agg. 0-0)
Penalti ( 3-2)
🇿🇦 Sundowns: ✅❌✅✅
🇹🇿 Yanga Sc: ❌✅❌✅❌
Mchezo ulilazimika kuamuliwa kwa matuta baada ya dakika 180, Dar es Salaam na Pretoria kumalizika kwa suluhu.