
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan Aprili 24, 2024 atoa Nishani za Miaka 60 ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kuzindua Kitabu cha Miaka 60 ya Historia ya Ofisi ya Makamu wa Rais katika Viwanja vya Ikulu – Chamwino Dodoma.



