
Afisa Usalama na Afya Tigo Tanzania Dismas Anthony akimuelezea Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko (kushoto) aliyekuwa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Patrobas Katambi jinsi jinsi Tigo ilivyojipanga katika kilele cha Wiki ya Maadhimisho ya Wiki ya Usalama na Afya kazini yaliyofanyika jijini, Arusha.