Vodacom Tanzania Yagawa Kapu La Sikukuu Kwa Wateja Wao Jijini Mwanza
Global Publishers
December 6, 2025
4,566 views
0 Comments

Timu ya Vodacom Tanzania Plc kanda ya Ziwa, wakijiandaa kugawa kapu la Vodacom kwa wateja na wakazi wa Mwanza kwenye viwanja vya soko la samaki kirumba. Tukio hili limefanyika mwishoni mwa wiki kama ishara ya kuendelea kusherehekea msimu huu wa sikukuu pamoja na wateja wao jijini Mwanza.