×

Simulizi Mpya Ya Mfalme Wa Reggae Lucky Dube – Kumbe Hakuwahi Kumuona Baba’ke – Video

HAYATI SHAABAN bin Robert anatajwa katika orodha ya Wanazuoni waliojaaliwa sifa ya kemkem zinazofanya atajwe hadi leo!

Mtunzi huyu wa vitabu mbalimba aliyezaliwa mnamo Januari Mosi mwaka 1909 na kufariki dunia mwaka 1962 ndiye anayetajwa kuwa ni ‘Baba wa Kiswahili’

Sifa za ziada zilimpa heshima ya kuitwa Bingwa wa Fasihi hivyo Ni sawa na kusema ni Mwanafalsafa Mbobezi aliyestahili kupewa hadhi Kubwa za kitaifa na Kimataifa!

Heshima ya jina la Shule ya Sekondari Shaaban Robert na hata mtaa wenye jina lake ni ushahidi kuwa yote yanatokana na aliyoyaacha Duniani kama Kumbukumbu!

Moja ya Kumbukumbu inayomweka hai kifikra Mwanazuoni huyu ni vitabu vyake vya Fasihi ambavyo ni KUSADIKIKA na KUFIKIRIKA!

Ndani ya vitabu hivyo, Shaaban Robart alieleza namna Fasihi Simulizi zinavyoweza kuwa sawa na Maktaba inayowafikirisha watu na hata kuishi miaka mingi kama siyo kwa karne kwa karne!

Alisema, Tungo za nyimbo mbalimbali ni Fasihi Simulizi inayoweza kuishi na kuwakumbusha wasikikizaji baadhi ya majukumu yao!

Leave a Comment