×

Waziri Gwajima Alia Bungeni Kwa Vitendo Vichafu Vya Ndoa Za Jinsia Moja Na Ubakaji Na Ulawiti – Video

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum, Dorothy Gwajima

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Wenye Mahitaji Maalum, Dorothy Gwajima Mei 17, 2024 aliwavunja mbavu wabunge baada ya kulia na kupiga kelele kwa sauti kubwa akionesha ni kwa namna gani anachukizwa na vitendo vya ukatili wa kijinsia.

Gwajima aliyafanya hayo baada ya Mbunge wa Arumeru Magharibi, Noah Lemburis kuibua hoja akidai hajaona kama wizara imechukulia kwa uzito maoni yaliyotolewa na wabunge kukemea vitendo vya ulawiti.

Leave a Comment