Maelfu ya raia nchini Iran wamejitokeza katika maziko ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Ebrahim Raisi aliyefariki Dunia kwa ajali ya helikopita wiki iliyopita.