×

Viongozi na wachezaji wa Klabu ya Yanga, leo Watinga Bungeni, Dodoma (Picha + Video)

Wachezaji na viongozi wa timu ya Yanga wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge wakishuhudia wabunge wakijadili makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

Viongozi na wachezaji wa Klabu ya Yanga, leo wametinga bungeni jijini Dodoma kwa mwaliko wa Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro.

Wakiwa bungeni, Naibu Spika, Mussa Azan Zungu aliwatambulisha ambapo wabunge walilipuka kwa shangwe wakiwapigia makofi kwa nguvu.

Leave a Comment