×

Taharuki! Auawa Kwa Kukatwa Mapanga Akiwa Bar na Mpenzi Wake – Video

Mrembo Penina Method, mkazi wa Goba jijini Dar es Salaam ameuawa kwa kukatwakatwa na mapanga huku mwanaume aliyekuwa akiishi naye aliyetambulika kwa jina moja la James, akidaiwa kuwa ndiye aliyefanya tukio hilo kwa kile kinachoelezwa kuwa ni wivu wa mapenzi.

Tukio hilo limetokea alfajiri ya Mei 23, 2024 ambapo kwa mujibu wa mashuhuda inadaiwa kuwa, mwanaume huyo baada ya kutekeleza tukio hilo, alienda kujisalimisha mwenyewe polisi.

Leave a Comment