×

RC Makonda: Watu 8 Wamelipwa Mil 6 ili Waniue, Anasa SMS Kwenye Simu Yake, Mwenyewe Aeleza – Video

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amesema kuwa kuna mtu kamtumia meseji kuwa kuna watu 8 wamelipwa milioni 6 ili waondoe uhai wake.

Makonda ameendelea kwa kusema kuwa haogopi chochote kwani analindwa na Malaika wa Mungu hivyo yuko salama.

Leave a Comment