
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amefunga Masijala ya Ardhi ya Jiji la Dodoma ikiwa ni hatua ya wizara yake kuondoa changamoto za sekta ya ardhi katika jiji la Dodoma.
Akizungumza na wananchi baada ya kufunga makufuli kwenye masijala ya ofisi ya ardhi jiji la Dodoma Mei 28, 2024, Silaa amemuelekeza katibu mkuu wa wizara hiyo kusimamia shughuli hiyo ili kuhakikisha watu wanapata haki zao.



View this post on Instagram