×

Rais Samia Aswali Swala ya Eid Al Adha katika Msikiti wa Mikocheni, Dar

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia akiwa kwenye Dua ya pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa swala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia akiwa leo Juni 17, 2024 aswali swala ya Sala ya Eid Al Adha pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam .

Rais Samia akisalimiana na baadhi ya Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa swala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024.

Leave a Comment