×

Kusanya Maokoto na Meridianbet Leo

Mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania nzima Meridianbet wanakwambia hivi siku ya leo ndiyo ya kuondoka kifua mbele ukibashiri mechi zako na meridianbet. Unangoja nini sasa?. Ingia na usuke mkeka wajo.

Leo hii Ronaldo na Portgal yake watazichapa dhidi ya Czech Republic mchezo utakaopigwa katika dimba la Red Bull Arena. Ikumbukwe kuwa Ureno walichukua kombe hili 2016 na hivi sasa wanataka kulitetea.

Roberto Martinez ambaye ni kocha mkuu wa timu hiyo ya Ureno wamependelewa kushinda mchezo huu wakiwa na ODDS 1.50 kwa 6.07, huku wakiwa na wachezaji bora wengi akiwemo Cristiano Ronaldo, Bernado Silva, Jota, Rafael Leao na wengine kibao. Je wataanzaje michuano hii? Beti hapa.

Huku Kundi F kutakuwa na mechi ya Turkey dhidi ya Georgia majira ya saa moja usiku huku kwa upande wa Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kushinda Uturuki kwa ODDS 1.76 kwa 4.70. Timu hizi mara ya mwisho kukutana ilikuwa 2012 ambapo Georgia alipoteza. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?. Suka jamvi hapa.

EURO inaendelea leo hii suka jamvi lako hapa na ODDDS KUBWA. Pia unaweza kucheza michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao. Ingia mchezoni na ucheze sasa.

Croatia aliyenyukwa mechi yake iliyopita, ataumana dhidi ya Albania ambao nao walichezea kichapo. Yaani zinakutana timu mbili ambazo zimetoka kupoteza mechi zao.

Croatia yenye Modric, Kovacic, Brozovic na wengine wengi kushinda mechi hii wamepewa nafasi kubwa ya kuondoka wababe wa mechi hii kwa ODDS 1.47 kwa 6.86. Je nani atapoteza mchezo wa pili mara hii. Beti na Meridianbet.

Naye mwenyeji wa michuano hii Germany baada ya kuibuka na ushindi mkubwa mechi ya kwanza, watakabiliana dhidi ya Hungary ambao walipoteza mechi yao iliyopita. Mara ya mwisho kukutana, Nagelsmann na vijana wake waliibuka wababe. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.27 kwa 9.40, lakini vilevile kuna machaguo zaidi ya 1000 hapa. Ingia na usuke mkeka wako sasa.

Vita kali sana itakuwa ni hii ya Scotland dhidi ya Switzerland ambao walionyesha mchezo bora sana mechi yao iliyopita. Scotland ambao wamepoteza mechi iliyopita, watataka pointi tatu kabla jua halijakuchwa. Wakati Uswizi wao wametoka kushinda kwa kishindo. Mechi hii ina ODDS 4.21 kwa 1.81. Tengeneza jamvi hapa.

Leave a Comment