×

Mshindi wa Ngao Kuamuliwa Jumatano Ndani ya Dakika 90

Mashabiki wengi wanasubiri kwa hamu mechi ya kibabe za Ngao ya Jamii kati ya Yanga dhidi ya Simba itakayopigwa kule Visiwani Zanzibar huku wewe ukiwa na nafasi ya kuondoka na mshindo wa maana. Tengeneza jamvi la ushindi hapa.

Kiwanja cha New Aman Complex kinatarajiwa kuwaka moto siku ya Jumatano ambapo kutakuwa na mtanange wa kukata na shoka wa Ngao ya Jamii kati ya Simba dhidi ya Yanga ambao wanawania taji hilo la kufungua msimu mpya wa ligi wa 2026/2027.

Ushindi ni muhimu kwa kila timu hasa ukizingatia kuwa timu zote mbili zimetoka kufanya usajili mzito kwaajili ya msimu mpya hivyo hii ni mechi ambayo wachezaji hao wanataka kuonesha uwezo wao mbele ya mashabiki na kuthibitisha nafasi zao mbele ya makocha wao.

Yanga ikiwa chini ya kocha mkuu Manqoba Mngqithi wataingia uwanjani kwa kujimani kwani ni timu ambayo imeendelea kuonesha uwezo wa mkubwa kabisa kwenye michuano ambayo wamekuwa wakishiriki, lakini pia hawa ndio mabingwa watetezi wa taji hili ambalo walilipata baada ya kushinda bao 1-0 msimu uliopita.

Kwa upande wa Simba wao wameendelea kuwa wanyonge wa Yanga kwani kushinda kwao mbele ya mabingwa hao wa ligi kuu imekuwa ngumu, lakini chini ya Steve Barker waliweza kuchukua taji la CRDB Federation Cup, Simba wanaingia kwenye Ngao ya Jamii wakiwa na kombe lao na hamu ya kuongeza jingine.

Lakini pia ushindi dhidi ya Yanga katika mechi kubwa unaweza kuwapa morali kubwa kabla ya kuanza kampeni ya ligi. Zaidi ya hilo, Klabu hiyo nayo pia imeweza kufanya usajili mzuri wa wachezaji wakubwa kutoka Mataifa mbalimbali ikiwemo Senegal, Zambia na mengine kuimarisha kikosi zaidi kwenye michuano ya ndani na nje.

Lakini pia Meridianbet inakwambia tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Mechi hii inakutanisha timu mbili ambazo zinanolewa na makocha ambao wanatoka Afrika Kusini hivyo mbinu ndio zinaweza kuamua nani ataibeba Ngao ya Jamii msimu huu.

Mechi 5 za mwisho walizokutana kati ya Simba dhidi ya Yanga Yanga ameshinda mechi 3 na Simba ametoa sare 1 na ameshinda mechi 1, hivyo vijana hawa wa Manqoba ndio wana nafasi nzuri ya kupata matokeo mazuri kutokana na kikosi bora ambacho wanacho.

Timu zote zimefanya usajili mzuri huku upande wa Yanga ameongeza wachezaji kama Peter Shalulile aliyekuwa Mamelodi, Cheikh Ibrahima Touré, Albert Kangwanda kutoka Zambia, Mouhamed Komara kutoka Ivory Coast na wengine wengi ambao wamekuja kuongeza nguvu kikosini hapo.

Lakini bado kwenye klabu hiyo kuna wachezaji tishio na wa kuchungwa Pacome, Nzengeli, Abuya Okelo na wengine huku wakiwa na kipa mzuri Diara. Je Nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Odds Kubwa zipo kwenye mechi hii sasa.

Kwa upande wa Simba wao baadhi ya wachezaji ambao wamewaongeza ni pamoja na Ibrahim Doumbia kutoka Mali, Keletso kutoka Sekhukhune United, Ibraheem Jabaar kutoka Stellenbosch, Nathaniel Chilambo kutoka Azam , Kelvin Nashon ambao nao wamekuja kuungana na wachezaji waliopo kusaka mataji.

Wachezaji wakuchungwa klabuni hapo ni pamoja na, Mpanzu, Chama, Gueye, Kagoma na wengine wengi. Hivyo kwa ujumla timu ambayo itajiandaa vyema ndio ambayo itaondoka na ushindi. Jisajili hapa na ubeti leo.

Leave a Comment