×

#Exclusive: Amina Vikoba Apigwa Na Kitu Kizito Na Mume Wake – Video

Msanii wa maigizo nchini, maarufu kama Amina Vikoba ambaye ni dada wa msanii wa Singeli, Dulla Makabila @Amina_vikoba amefunguka kuhusu ndoa yake na misukosuko anayopitia kwa mume wake kwa sasa.

Leave a Comment