Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amesema sheria za udhibiti wa fedha za umma zinapaswa kusimamiwa kikamilifu ili kudhibiti wizi wa fedha hizo.
Shigongo amesema anashauri magereza yaongezwe kujengwa nchini ili kuwadhibiti wote wanaotumia vibaa fedha za umma.