Mkurugenzi wa Bodi ya mikopo ya elimu ya juu ameongoza uzinduzi wa kampeni ya fichua uliofanyika June 28, 2024 kwenye ofisi ya Bodi ya mikopo Jijini Dar es salaam ambapo kampeni hiyo ina lengo la kuwataka wale wote walionufaika na mkopo huo hapo nyuma basi ni muda wa murejesha fedha hizo.