Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amembana Meneja wa TARURA kwa kumpigia simu na kumuweka ‘loud speaker’ mbele ya wananchi ili aeleze ni kwa nini hajamaliza ujenzi wa barabara kama makubaliano alivyokuwa.
Shigongo yupo kwenye ziara ya kijiji kwa kijiji, kata kwa kata katika Jimbo la Buchosa ili kusikiliza kero za wananchi na kuzipatia ufumbuzi.