×

Bei ya Mafuta Yashuka Dizeli, Petroli Kutumika kuanzia leo Julai 03, 2024

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia leo Jumatano Julai 3, 2024 saa 6:01 usiku Mkoa wa Dar es Salaam petrol ni Tsh. 3210 kwa lita, dizeli Tsh. 3115 na mafuta ya taa 3261.

Leave a Comment