×

Rais Samia Amteua Yahya Ismail Samamba kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini

Mhandisi Yahya Ismail Samamba

Rais Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Tume ya Madini, Mhandisi Yahya Ismail Samamba kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Madini

Anachukua nafasi ya Kheri Abdul Mahimbali ambaye atapangiwa kazi nyingine

Leave a Comment