Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA), Yusuph Juma Mwenda ameteuliwa kuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
Anachukua nafasi ya Alphayo Japan Kidata ambaye ameteuliwa kuwa Mshauri wa Rais, Ofisi ya Rais – Ikulu