×

Kipa wa Simba SC, Ayoub Lakred Apokelewa leo Misri – Picha

Ayoub Lakred

KIPA wa Simba SC, Ayoub Lakred amepokelewa leo Misri akitokea nchini kwao Morocco kujiunga kambini na wenzake.

Leave a Comment