×

Rais Ruto Avunja Baraza la Mawaziri, Amfuta Kazi Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Rais William Ruto

Rais wa Kenya, William Ruto amelivunja Baraza lake la Mawaziri na amewafuta kazi mawaziri wote isipokuwa Katibu Mkuu wa Baraza la Mawaziri na Waziri wa masuala ya kigeni, Musalia Musavadi, huku pia akimuondoa kwenye nafasi yake Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Akitangaza uamuzi huo wakati akilihutubia Taifa la Kenya leo Julai 11, 2024, Ruto amesema Ofisi ya Naibu Rais haijaathiriwa na mabadiliko hayo.

Amesema atachukua muda kufanya majadiliano ya kuunda baraza jipya la mawaziri litakalohusika na uendeshaji wa serikali.

Leave a Comment