×

Exclusive: Maestro – Simba Wanahitaji Muda, Afunguka Nafasi Ya Chama Yanga – Video


Mchambuzi wa soka nchini Ibrahim Maestro amefanya mahojiano na Global TV na kufunguka usajili wa Clatous Chama ndani ya klabu ya Yanga SC.

Maestro ameeleza kuwa ni usajili mzuri na utaenda kuisaidia klabu ya Yanga katika msimu ujao.

Leave a Comment