×

Rais wa Yanga, Injinia Hersi Aibuka Katika Mazoezi Avic Town – Picha

Rais wa Yanga, Hersi Said akiongea jambo na Kocha Mkuu  pamoja na Kocha Msaidizi Moussa N’Daw Avic Town.

Rais wa Yanga, Injinia Hersi Said leo Julai 17, 2024 ametembelea mazoezi na kufuatilia maandalizi ya Kikosi hicho kuelekea msimu mpya wa 2024/25 Avic Town.

Leave a Comment