×

Ijumaa Yako Itakuwa Murua Ukibeti na Meridianbet

Suka jamvi lako leo ukiwa na Meridianbet ambapo unaweza ujishindia pesa kibao tuu, kwani timu zinazocheza leo zinafahamika na viwango vyao vipo juu. Chagua timu yako ya ushindi na ubashiri sasa.

Tandika jamvi lako mechi ya Getafe dhidi ya Coventry City ambao wanashiriki ligi daraja la kwanza Uingereza. Mwenyeji anakipiga ligi kuu ya Hispania Laliga  ambapo msimu uliopita alimaliza nafasi ya 12 na pointi zake 43. Mwenyeji anapendelewa kuondoka na ushindi leo hii akipewa ODDS 1.88 kwa 3.19. Jisajili sasa.

Vilevile FC Porto atakuwa ugenini leo kukiwasha dhidi ya Austria Wien ambaye anacheza ligi kuu ya Austria akiwa na kiwango kizuri pia. Mgeni alimaliza ligi akiwa nafasi ya 3 na pointi zake 72. Je leo hii kwa ODDS 4.41 na 1.50 nani ataibuka na ubabe?. Tengeneza jamvi lako hapa na Meridianbet.

Nottingham Forest nao wamemua kujiweka swa dhidi ya Sunderland ya Ligi daraja la kwanza. Forest wamemaliza nafasi ya 17 kwenye ligi wakiwa na pointi 32 huku mgeni akimaliza nafasi ya 16 na pointi zake 56. Bashiri yako unaiweka wapi kati ya timu hizi mbili?. Suka mkeka wako sasa.

Halikadhalika Southampton ambao wamepanda daraja kucheza EPL msimu huu watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya Eastleigh ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 9.40 kwa 1.18. Timu hiyo inacheza Uingereza National League. Bashiri sasa.

Bashiri mechi za kirafiki zinazoendelea ndani ya Meridianbet uibuke kuwa Milionea leo. Cheza pia michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Kitaumana mechi ya Ajax dhidi ya Olympiacos ambayo imepewa ODDS 1.84 kwa 3.77, huku ukikumbuka kuwa mgeni ni bingwa wa Konferensi ligi. Ajax kutoka Uholanzi ilimaliza ligi ikiwa inashika nafasi ya 5 huku bingwa wa Konferensi ligi akishika nafasi ya 3 kwenye ligi. Je nani leo hii ataibuka na ushindi? Bashiri sasa.

Vuna mpunga mechi ya Sligo Rovers FC ya Ireland itakuwa na kazi ya kushinda mbele ya Everton FC ambayo inashiriki ligi kuu ya Uingereza. Meridianbet wanampendelea The Toffees kuchukua pointi tatu leo wakiwa na ODDS 1.18 kwa 8.23. Wewe beti yako unaiweka wapi kati ya hizi timu mbili?. Jisajili sasa.

Nao US Salernitana baada ya kushuka daraja na sasa msimu huu watakuwa wakicheza Serrie B watakuwa nyumbani leo kujifua dhidi ya Volos NPS kutoka kule ligi kuu ya Ugiriki. Mechi hii imepewa ODDS 1.62 kwa mwenyeji na 4.11 kwa mgeni. Je nani kuondoka kifua mbele leo?. Tengeneza jamvi hapa.

WSG Tirol vs Olympique Lyon kutoka kule Ufaransa Ligue 1. Mwenyeji anakipiga Austria Bundesliga ambapo msimu uliomaliza alimaliza nafasi ya pili kutoka mwisho, huku kwa upande wa Lyon yeye alimaliza nafasi ya sita. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa.

FC Cologne ya Ujerumani itaumana dhidi ya ST Truidense VV ya Ubelgiji ambayo imeshika nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi. Mwenyeji yeye ameshuka daraja atacheza Bundsliga 2 msimu mpya. Nafasi ya ushindi leo amepewa 1.81 kwa 3.04. Suka mkeka hapa

Leave a Comment