×

Hizi Hapa Nafasi za Kazi 30 Halmashauri ya Wilaya ya Muheza

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Muheza amepokea kibali cha Ajira mbadala chenye Kumbukumbu Na.FA.228/613/01/D/020 cha tarehe 21/06/2024, na kibali cha Ajira mpya chenye Kubukumbu.Na.FA.97/288/01/09 cha tarehe 25/06/2024. kwa Ikama ya mwaka 2023/2024 kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Hivyo Watanzania wote wenye sifa wanatangaziwa kutuma maombi ya kazi kwa nafasi zifuatazo:-

WAZIRI MKUU MAJALIWA – ”MA-RC – MA-DC HAKIKISHENI MIRADI YA MAENDELEO INAKAMILIKA”….

Leave a Comment