×

HAPA MAN UNITED PALE FULHAM EPL IMEREJEA RASMI

Leo ni sikukuu kwa wapenzi wote wa burudani ya mpira wa miguu duniani kwani ile ligi pendwa zaidi ulimwenguni inarejea leo na ile timu pendwa zaidi ndio itafungua pazia.

Ni ligi kuu ya Uingereza ambayo ndio ligi pendwa zaidi ulimwenguni huku Manchester United kama timu pendwa kabisa ulimwenguni itaufungua rasmi msimu mpya wa 2024/25 dhidi ya Fulham leo pale kwenye dimba la Old Trafford.

Mchezo wa leo unatarajiwa kua wenye ushindani mkubwa kwani klabu ya Fulham pia ni moja ya timu ambazo zimekua na ubora kwenye ligi kuu ya Uingereza, Wakiwa wameongeza wachezaji wenye ubora kwenye kikosi msimu huu.

Bado mabingwa wa michezo ya kubashiri Meridianbet wanaendelea kuhakikisha unapigwa mkwanja wa kutosha kupitia michezo mbalimbali inayopigwa haswa baada ya EPL kurejea ambapo wanaendelea kumwaga ODDS BOMBA kila siku.

Ikumbukwe mara ya mwisho klabu ya Fulham kufika katika dimba la Old Trafford walifanikiwa kushinda kwa mabao mawili kwa moja, Hivo mchezo wa leo sio mwepesi kutokana na kilichofanywa mara ya mwisho na Fulham walipokutana tena katika uwanja wao wa nyumbani.

Leave a Comment