×

Inauma! Kisa Bodaboda – Ndoa Ya Dada’ke Dula Makabila Yavunjika, Anafunguka – Video

Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri katika tamthilia, Amina Vikoba.

Msanii wa maigizo nchini aliyefanya vizuri katika tamthilia, Amina Vikoba amefunguka kupitia kipindi cha Katambuga kupitia Global Radio na kueleza kuwa kwa sasa hayupo sawa na mume wake kwa sababu ya kupishana maelewano.

Amina Vikoba ameeleza zaidi kuwa wapo mbali ba mume wake japokuwa hajapewa talaka ila taratibu zinaendelea na kueleza kuwa unapoingia katika ndoa unapaswa kuvumilia ipasavyo.

Leave a Comment