×

Azam Fc Yatupwa nje michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika

Azam Fc imetupwa nje ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kipigo cha jumla cha 2-1 dhidi ya APR Fc ya Rwanda kwenye mchezo wa hatua ya awali.

FT: APR FC 2-0 AZAM FC
⚽️ Ruboneka 45’
⚽️ Mugisha 62’

APR Fc wametinga raundi ya kwanza ambapo watachuana na Pyramids ya Misri.

MAAJABU YA MIAKA 3 YA RAIS SAMIA JIMBONI BUCHOSA; SAFARI YA SAA 8- SASA YAWA SAA 3 TU…

Leave a Comment