Msanii wa filamu za Kibongo anayefanya poa kwenye tamthilia ya Jua Kali @sophy_juakali ametoa kali ya mwaka baada ya kusema kuwa mpenzi ambaye yupo naye kwa sasa hajui kabisa kama ana mapengo.
Katika mahojiano alioyafanya na Global TV, Sophia ameyaonesha mapengo hayo huku akihofia kwamba huenda jamaa akaamua kumuacha baada ya kuujua ukweli.