×

Tecno yaja na muonekano mpya wa kijanja

TECNO inakuja na teknolojia mpya kabisa ambayo haijawai kutokea kwenye ulimwengu wa smartphone duniani!

Inayoenda kwa jina la Ultra-thin PHANTOM ULTIMATE 2 Tri-Fold, ni mwendelezo wa uvumbuzi wa PHANTOM ULTIMATE.

Teknolojia hii mpya ya foldable inaonyesha dhairi kuwa TECNO wamedhamiria kuvuka mipaka na kuendeleza teknolojia ya kisasa, ikiwakilisha falsafa yao ya “Stop At Nothing.”

Je wewe mdau unaonaje spidi ya TECNO kwa sasa?

Leave a Comment