×

Rais Dkt. Samia Awatunuku Nishani Ya Miaka 60 Ya Jeshi La Ulinzi La Wananchi (Picha +Video)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu  Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kutunuku Nishani ya miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akitunuku Nishani ya Miaka 60 ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi (JWTZ) Ikulu Dar es Salaam, Agosti 29, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwatunuku Nishani ya miaka 60, Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (CDF) Jenerali Jacob John Mkunda, Majenerali, Maafisa pamoja na Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Agosti, 2024.

Leave a Comment