×

Mtanzania Aliyekwama nchini Iraq Rahma Arejea nchini Tanzania

Mtanzania aliyekwama nchini Iraq Rahma amerejea nchini Tanzania na kupokelewa leo Agosti 31, 2024 Jijini Dar es salaam.

Rahma amefunguka na kueleza aliyokutana nayo nyakati alipokuwa nchini Iraq na kuwashukuru Watanzania kwa jumla kwa kumchangia nauli ili arejee nchini.

Usikose kufuatilia kipindi cha Mapito hapo kesho ambapo @zali_mapito atafanya Interview na Rahma na kuelezea mengi aliyokutana nayo tangu aondoke nchini.

Leave a Comment