Hizi ndizo aina za kodi kwa wafanyabiashara na tarehe za malipo yake – TRA wafunguka
September 3, 2024 0 Comments
SHARE THIS:
Meneja wa elimu ya Mlimpakodi – TRA CPA – Paul Walalaze amefunguka kupitia kipindi cha Front Page na kueleza kuwa kati ya watu wanaolipa kodi vizuri na kwa wakati ni pamoja na Viongozi.
Lakini pia CPA Walalaze amefunguka aina mbalimbali za kodi kwa wafanyabiashara na tarehe za malipo yake.