Jeshi la Polisi kupitia kwa msemaji wake, DCP David Misime limetoa taarifa kwa umma kuhusu mauaji ya Ally Kibao aliyekuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Chadema Taifa na Msaidizi wa katibu mkuu wa chama hicho.