Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe ametangaza maadhimio ya vikao vya chama hicho.
Mbowe ametangaza maazimio hayo leo, Septemba 11, 2024 katika mkutano wa viongozi wa chama hicho uliofanyika kwenye makao makuu ya chama hicho, Mikocheni jijini Dar es Salaam.