×

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo Atembelea Kituo cha afya Kakobe

Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo ametembelea katika kituo cha afya Kakobe Septemba 11, 2024
ambacho kilipata hitilafu ya umeme kwa baadhi ya majengo na kuteketea kwa moto na kuwaeleza kuwa Serikali itahakikisha inafanya ukarabati kwa majengo hayo kurudi kama awali.

Shigongo amewatoa hofu Wananchi wa Kata ya Kazunzu na sambamba na hilo ametembelea wodi ya akina mama na watoto kwenye kituo cha afya na kujionea wananchi wanavyofurahishwa na huduma wanazopata kutoka Kwa watoa huduma za afya ndani ya kituo hicho.

BASHE AFUNGUKA SERIKALI KUSAMBAZA TREKTA 10,000 NCHI NZIMA – MPANGO WA KUONGEZA UZALISHAJI PAMBA…

Leave a Comment