
Wikendi ndio hiyo inaanza na wewe kama muwekezaji anza kuwekeza kuanzia leo ambapo mechi kibao kupigwa katika viwanja mablimbali. Ingia Meriidianbet na usuke jamvi lako sasa.
LALIGA inatarajiwa kuendelea leo kwa mchezo mmoja baada ya kupigwa jana Deportivo Alaves atakuwa na kibarua kizito dhidi ya Sevilla ambao wametoka kushinda mchezo wao uliopita. Mwenyeji alipoteza mechi yake iliyopita akiwa ugenini hivyo leo yupo nyumbani anataka ushindi.
Mechi ya mwisho walipokutana, Sevilla alipoteza hivyo leo anataka ushindi kwa hali na mali yoyote na Meridianbet wanakwambia hivi mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa.
Kule Ufaransa LIGUE 1 nayo kitawaka kama kawaida majira ya saa 3:45 Nice atakuwa mwenyeji wa Saint-Etienne ambao wamepanda daraja msimu huu. Mwenyeji kwenye mechi 4 alizocheza ameshinda moja akitoa sare moja na kupoteza mbili, wakati kwa mgeni wake yeye kashinda moja na kupoteza tatu.
Nice anashika nafasi ya 12 na Etienne yupo nafasi ya 16 huku mechi hii ikipewa ODDS 1.57 kwa 5.68. Tengeneza jamvi hapa.
Meridianbet inakupa nafasi ya kuondoka na mshiko wako leo ukibashiri mechi za Ijumaa ya leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Mambo yanazidi kuwaka moto SERIE A ambapo leo hii kutakuwa na mechi mbili huku mechi ya mapema kabisa itakuwa saa 1:30 usiku kati ya Cagliari dhidi ya Empoli katika dimba la Unipol Domus.
Cagliari ametoka kupoteza mechi yake iliyopita kwa kipigo kizito huku mgeni wake akitoa suluhu mchezo wake uliopita. Meridianbet wnampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kwa ODDS ya 2.19 kwa 3.38. Je wewe beti yako unaiweka wapi kwenye hizi timu mbili?. Suka jamvi hapa.
Mechi nyingine ya pesa Italia ni hii ya mwenyeji Hellas Verona vs Torino huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni mbili pekee mwenyeji anashikilia nafasi ya 7 na mgeni wake yupo nafasi ya 5. Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili Torino alishinda. Je mwenyeji anaweza kulipa kisasi leo akiwa na ODDS 2.74 kwa 2.65?. Jisajili hapa.
Ligi ya magoli mengi BUNDESLIGA nayo haipo nyuma kuna mchezo wa maana kabisa utakuwa FC Augsburg ataumana dhidi ya FSV Mainz majira ya 3:30 usiku. Mwenyeji ametoka kushinda mchezo wake uliopita, huku mgeni wake akipoteza mchezo wake uliopita.
Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 2.45 kwa 2.74 kwai Augsburg anataka kulipa kisasi cha kupoteza mchezo wake wa mwisho walipokutana. Beti yako unaiweka wapi kwenye hizi timu mbili?. Jisajili sasa.
o mabingwa wa ligi hiyo huku Lille yeye akichukua kombe la Ligue 1 2021. Nani kuondoka kifua mbele leo?. Jisajili sasa.