×

Tecno kutoa Zawadi nono kwa Wateja wao wapya

TECNO imeanzisha promosheni ya kipekee iitwayo MEMBER DAY, yenye ofa kubwa. Wateja wanaponunua matoleo mapya ya simu za SPARK 30 na POP 9, watapata zawadi papo hapo! Aidha, kuna punguzo la 50% kwenye huduma za matengezo/ repair ya simu (Carl Care).

Simu mpya za SPARK 30 na POP 9 ni nyota kwa mwezi Septemba, kwa wapenzi wa teknolojia za simu za kisasa, MEMBER Day ni nafasi bora ya kupata ofa nzuri huku wakifurahia zawadi za kipekee.

 

Ofa hii itafanyika kila mwisho wa mwezi, ikiwainua wateja na kuwapa zawadi za kuvutia! MEMBER Day itafanyika kwenye maduka ya @tecnoexclusiveshop kuanzia tarehe 26 hadi 28 Septemba, Usikose ofa hii! Kwa maelezo zaidi, wasiliana na maduka ya @tecnoexclusiveshop kote nchini.

Dar es salaam Posta & Kariakoo: 0655957097 / 0758554670 / 0763832715 | Zanzibar Mtaa wa darajani: 0621 097 983 | Dodoma Barabara ya Sita: 0674 372 275 | Mbeya Soweto Street: 0754 427 419 | Arusha: 0762102471 / 0756701719 | Mwanza Goldcrest: 0699553067 / 0696226282 | Morogoro: 0678051527.

Leave a Comment