Baadhi ya mashuhuda wamesimulia jinsi tukio la mwanaume aliyejulikana kwa jina la Seif Hamad ‘Kikeri’, dalali wa magari, mkazi wa Magomeni Mapipa jijini Dar es Salaam, kukutwa amekufa kwenye gari aina ya Range Rover, alilokabidhiwa alitafurtie mteja.